7/23/2020

Lumutuz Afunguka Kuhusu PAUL Makonda "Makonda .Alipotangaza Kugombea Kura za Maoni Wazee wa Fitna Wakaenda Kujipanga Upande wa Pili Kuhakikisha Anapigwa Chini"


Ameandika Haya Lemutuz:

The Super RC kura za Maoni Mwaka huu Taifa zima lilikuwa limetega Macho na Masikio Kigamboni kwa sababu ya THE SUPER RC ....Makonda amekuwa RC wa kwanza katika Historia ya Taifa hili kutuandikia upya nini maana ya Mkuu wa Mkoa cause sio siri hatutukuwa tunajua nguvu za Kisheria za RC zinaanzia wapi na kuishia wapi..Kama Rais Magufuli alivyotufumbua Macho WaTanzania kuhusu nguvu za Urais na Utajiri wetu Taifa hili hatukuwa tunajua lolote ....so matokeo ni kwamba Rais "CHUMA" akaanza kuonyesha kuheshimu kazi za RC wake zilizokuwa sambamba na maono yake .....Wanasiasa kama kawaida yao Wakatafsiri kwamba Rais anampenda sana RC na ni Kipenzi chake bila ya kuangalia kwa umakini kwamba anachokiheshimu ni ...KAZI NA KIPAJI CHA UBUNIFU WA RC sio lazima anampenda kama binadam...ndipo Chuki kubwa zilipoanza against RC na hii kihistoria imekuwa ni kawaida kwani Awamu ya Kwanza Mwalimu alionyesha kumpenda Rashid Kawawa Wanasiasa wakampiga vita mpaka kuwa Adui wa Taifa...Rais Mwinyi alipoonyesha kumpenda Waziri wake wa Nje Bw. Diria alipigwa vita mpaka kutangazwa ni Muuza Unga ....Rais Mkapa alipoonyesha kumpenda Waziri wake Dr. Kitine masikini ya Mungu alishambuliwa mpaka mkewe na wakamtoa kazini ....Rais Kikwete alipooonyesha kumpenda Katibu wake Jairo akapigwa vita mpaka akatolewa Kazini na Awamu hii ilikuwa zamu ya Makonda...alipotangaza kugombea kura za maoni Wazee wa Fitna wakaenda kujipanga upande wa pili kuhakikisha anapigwa chini ....now tofauti moja tu kubwa ya Makonda na Wengine waliopigwa Vita huko Nyuma ni Umri ...Makonda anao muda wa kutosha kukaa chini na kujipanga tena na kurudi kwa kishindo kwani wake ...ULIKUWA NI UONGOZI UNAOACHA ALAMA ....on a Serious note as far as kazi ya U RC Makonda alikua hakuna mahali katika Jamii ambako hakugusa ilifikia mahali hakukuwa na jipya tena la kufanya....Makonda kazi zako kwa Kinamama Wazee, Watoto wa Yatima, Walemavu wa Miguu, Wagonjwa, na Uthibiti wa Wapinzania, HAZISAHAULIKA...na sio kweli kwamba hakuwa na Mapungufu ila yalikuwa madogo sana kulinganisha na Uzuri wa Kazi zako kwa Jamii...kama ni kukataliwa na Jamii tizama Watoto wa Baba wa Taifa walivyofanyiwa kura za Butiama ni KAWAIDA! - Ameandika Lemutuz
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Kibamia anahaha, kumrudisha Bashite madarakani. ila anasahau kama Magufuli hamtaki. sababu ni anapenda sana kujionyesha hata sehemu asohitajika, pole Le tumbos huyajui mengi hata picha usomi, kazi yako kumsifia unaempenda wewe, its over...mother Fantarrrrrryyyyyy

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger