7/24/2020

Mke Amzuia Mchezaji Sibomana Yanga


KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo raia wa Rwanda, Patrick Sibomana amelazimika kubaki jijini Dar kufuatia mke wake kuwa mgonjwa.

Yanga ilishuka kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kucheza dhidi ya wenyeji wao Mtibwa Sugar ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara, huku ikiwakosa baadhi ya nyota wake kutokana na sababu mbalimbali akiwemo Sibomana.

“Tumeshindwa kusafiri na Sibomana kwa kuwa alipata dharula kufuatiwa kuuguliwa na mke wake hali iliyotulazimu kumpa ruhusa ya kusalia jijini Dar ili kuendelea kuangalia maendeleo ya kiafya ya mke wake,” alisema Eymael

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger