Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Nimetembea Na ‘house Girl’ Wangu Na Sasa Ana Mimba

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Naitwa baba Zai wa Buguruni Dar, nimeoa na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Kutokana na mke wangu kuwa anafanya kazi, tulilazimika kutafuta mfanyakazi wa ndani.

Mke wangu amekuwa akirudi kutoka kazini usiku sana na mimi huwa narudi nyumbani saa nane mchana. Nimejikuta muda mwingi nakuwa na mwanangu na ‘hausi geli’ tu ambapo mke wangu tumekuwa tukiwa na muda mzuri wa kuvinjari siku moja tu kwa wiki.

Nisiwafishe ‘hausi geli’ huyu alitokea kunipagawisha kutokana na umbile lake, sijui ni tamaa au nini lakini nikajikuta nimezama katika dimbwi la mahaba kiasi cha kufikia hatua ya kumchukulia kama mke wangu kwasababu huduma nyingi alikuwa akinipatia.

Kinachonipa wakati mgumu sasa ni kwamba, mke wangu anahisi kuwa natembea na huyu mfanyakazi wangu na kwamba ikibaini hivyo kwa ndugu jamaa na marafiki itakuwa ni aibu. Mbaya zaidi ‘hausi geli’ huyo sasa anadai ana mimba yangu. Hebu naomba unishari nifanye?

Post a Comment

1 Comments

  1. KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA.IKIWA KWELI UMEMPENDA ONGEZA MKE WA PILI MUOE.HAKUNA AIBU KUOA HOUSE GIRL.KAMA AIBU NABII IBRAHIM (ABRAHAM)ASINGEOA.

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)