Transfoma yalipuka Kariakoo na kuungua mali za watu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Tranfoma ya Shirika la Umeme Tanzania TANESCO iliyopo eneo la Karikaoo Barabara ya Msimbazi jirani na Ofisi za Startimes imelipuka na kusababisha kuungua kwa mali za wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga pamoja na kuteketeza pikipiki moja iliyokuwa imepaki chini ya Transfoma hiyo. 

Baadhi ya wafanyabiashara waliokuwa eneo hilo wamedai kuwa chanzo cha Moto huo ni kunguru ambaye alitua na kugusanisha nyaya ambazo zilianza kutoa moto na kusababisha kulipuka kwa tranfoma hiyo na kuteketea kabisa. 

Kamanda wa jeshi la zimamoto wilaya ya ilala mkaguzi Msaidizi Abdallah Ali Ogutu amesema walifika eneo hilo na kufanikiwa kuzima moto huo lakini bado wanaendelea kuchunguza chanzo cha tranfoma hiyo kulipuka.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad