Zitto: Jeshi la Polisi na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Mwachieni Huru Nusrat


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amelitaka jeshi la polisi na mwendesha Mashtaka wa Serikali kumuachia huru Nusrat na wenzake.

Nusrat ambaye ni kiongozi wa Bavicha wapi gerezani siku ya nane kwa tuhuma za kuimba wimbo wa taifa huku wakipandisha bendera ya taifa.

Zitto amesema ukandamizaji wa aina hiyo inaiweka nchi sehemu mbaya.

Kiongozi huyo alianfika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa “Acheni vijana hawa wafanye shughuli zao za kisiasa kikatiba,”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Ivi kwa nn tunaishi kwa matukio ya kuichokoza serikali? Tufanye siasa za kistarabu tuache siasa za show hao wanaotushabikia hawana msaada wowote kwenye maisha yako, angalia sasa familia zenu ndo zinaangaika hao akina zito wanaishia kupiga kelele tweeter tu..

    ReplyDelete