8/08/2020

Goodbless Lema "Muujiza wa Mungu Unachukua Fomu ya Kugombea Urais"Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu atachukua fomu kesho ya kugombea urais.

Lema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter kuwa atashuhudia kutoka kufo kuwa mgombea urais.

“Kesho muujiza wa Mungu una chukua fomu ya kugombea Urais, nitashuhudia, kutoka kifo had I kuwa mgombea Urais. Mna uliza tutashinda urais?,” aliandika Lema

“Jibu: kama tumekishinda kifo kwa uwezo wa Mungu basi urais ni kama ice cream tu. Twendeni mpaka mwanzo wa bahari
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

 1. Wala haielekei..!! Ni kujipotezea pesa
  za Udhulumaji wa Wabunge na Wakati.

  Hivyo Uraia wake wa Ukimbizi Umesha hakikiwa..?? na Ppt amesha irudisha.?

  Mazingira na Matope aliyoipaka nchi yetu labda Faru Peke yake akishirikian
  na Mkewe ndiyo atampa kura. Si ya Lema wala Msigwa ataipata.

  NRCC oyeee! Kisutu kwema.?

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger