8/27/2020

Harmonize Ataweza Kweli Kumfunika Diamond Platnumz Siku ya Wananchi?


STAA wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ amemlipa aliyekuwa bosi wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya juzi Jumatatu kuachia wimbo maalum wa klabu ya Yanga ukiwa na mahadhi ya Singeli.

Harmonize ametunga wimbo huo ukiwa maalum kwa ajili ya Yanga kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi ikiwa ni siku chache baada ya Diamond kutoa wimbo wa Simba ambao aliupafomu katika kilele cha Simba Day.

Hadi kufikia jana Jumanne wimbo huo wa Harmonize ulikuwa namba saba kwenye video ‘zilizo-trend’ katika mtandao wa YouTube huku ukiwa na watazamaji 132,422 baada ya kupostiwa Agosti 24.

SWALI NI JE? ATAWEZA KUMFUNIKA KWA SHOW KUBWA ALIYOIFANYA SIMBA DAY??
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger