Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kamati kuu ya CHADEMA kutoa mapendekezo yao leo, juu ya mgombea Urais kabla ya kuwasilishwa baraza kuu kesho

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURELeo Agosti 2, 2020 Kamati kuu ya CHADEMA inakaa kikao ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kutoa mapendekezo yao kutokana na utafiti waliofanya wa wagombea kwa upande wa Urais wa Tanzania Bara na Zanzibar na kuyawasilisha katika kikao cha Baraza kuu kitakachofanyika kesho.

Post a Comment

0 Comments