Kisa Messi, Man City Yawatoa Kafara Nyota

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MAN City imeripotiwa kuwa ipo tayari kuipa Bar-celona pauni mil-ioni 89.5 pamoja na wachezaji watatu; Bernardo Silva, Gabriel Jesus na Eric Garcia ili kumpata supastaa Lionel Messi.

City wana matumaini makubwa ya kufi kia makubaliano na Barcelona baada ya Messi kutangaza hivi karibuni juu ya nia yake ya kuondoka Camp Nou katika kipindi hiki cha usajili.

Kama Messi akikubaliana na City, ataungana tena na kocha wake wa zamani Pep Guardiola baada ya miaka yake ya mafanikio Nou Camp akifunga mabao 634 na kutoa asisti 285 kwenye mechi 731 alizoichezea miamba hiyo ya Hispania.

Sportsmail inaelewa kuwa Messi na Guardiola wamekuwa wakiwasiliana kupitia simu juu ya kutua kwake Etihad, hata kujadili jinsi Messi atakavyozoea England na kujifunza Kiingereza baada ya miaka 20 Hispania.

Wazo la kumsajili Messi kwa muda mrefu lilionekana kama ndoto isiyowezekana lakini dau la pauni milioni 89.5 kujumlisha Silva, Jesus na Garcia linaweza kufanya usajili huo utimie

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad