8/13/2020

Kubenea Ataja Sababu iliyomkimbiza Asigombee Ubunge ChademaAliyekuwa mbunge wa Ubunge, Sued Kubenea, ametaja sababau mojawapo iliyomfanya asigombea jimbo hilo ni kutokana na migogoro iliyokuwepo kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Read More: Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Kubenia amesema hakuwa tayari kushiriki kwenye dhambi ambayo ingesaidia jimbo hilo kwenda Chama cha Mapinduzi (CCM).

“Miongoni mwa sababu iliyopelekea kutokugombea jimbo hilo tena ni kutokana na migogoro iliyokuwepo kwenye chama changu,” alisema Kubenea.

Julai 18, 2020 Kubenea aliondoka Chadema na kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger