8/11/2020

Lukaku Aipeleka Inter Milan Nusu Fainali Mshambulaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 21 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa mkondo mmoja wa Robo Fainali ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Merkur Spiel-Arena Jijini Dusseldorf, Ujerumani. Bao la kwanza la Inter Milan lilifungwa na Nicolo Barella dakika ya 15, wakati la Bayer Leverkusen lilifungwa na Kai Havertz dakika ya 24 na sasa kikosi cha Antonio Conte kitakutana na mshindi kati ya Shakhtar Donetsk na Basel zinazomenyana leo katika Nusu Fainali Jumapili
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger