8/19/2020

Mbasha 'Kuna Watu Walitaka BIFU Langu na Adam Mchomvu Liendelee"Baada ya Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt Hassan Abbas kusimamia mchongo wa kumaliza tofauti za Emmanuel Mbasha na Adam Mchomvu jana kwenye #XXLyaCloudsFM, @e.mbasha ameiambia #LeoTenayaCloudsFM kuwa wapo watu ambao wanampigia simu na kuonyesha masikitiko yao kwa kitendo cha kumalizika kwa tofauti kati yake na @adamchomvu.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger