8/20/2020

Mbowe akabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge Hai Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe, leo August 20,2020 amekabidhiwa fomu ya uteuzi wa kutetea nafasi ya Ubunge Hai, katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Hai.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger