8/20/2020

Molinga wa Yanga amsifia Manara, Unajua sana kubrand wachezaji, natamani nifanye kazi na wewe


Ujumbe wa aliyewahi kuwa mchezaji wa yanga ambaye ni raia wa Congo na tayari ametemana na Yanga David Molinga Falcao kupitia ukurasa wake wa instagram.

“Siku zote nitakuwa na kumbuka tanzania asilimia kubwa sababu yako bro,uwezo ya brand team na wachezaji ndio kitu inanipa furaha sana natamani siku moja nifanye kazi na ww sabab unajua maana ya kuwa speakman ya team sio kwamba unaongea tu ila kila mara nilikuwa nakuangalia unaongea pointi tu i mean unajua mpira san bravo bro i proud of you popote nitakwepo nitakukumbuka daima @hajismanara“
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger