AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema chama hicho kina mtumia Rais John Magufuli kama fursa ya kutoa wanachama upupu ndani ya chama hicho.
Akizungumza leo wakati wa mkutano mkuu wa chama hicho unaendelea jijini Dar es salam kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City.
“Na sio kweli kuwa Magufuli ni hatari wakati wote, wakati mwingine amekuwa ni fursa kwetu, ametusaidia kutuondolea ule upupu uliobakia kwenye Chama chetu” amesema Mbowe.
Baadhi ya wananchama waliokiama chama hicho na kukimbilia chama cha Mapinduzi (CCM) waliangukia pua kwenye kura za maoni za kuwania ubunge kwenye chama hicho.
"Na sio kweli kuwa Magufuli ni hatari wakati wote, wakati mwingine amekuwa ni fursa kwetu, ametusaidia kutuondolea ule upupu uliobakia kwenye Chama chetu" @freenmbowetz#ChademaMkutanoMkuu2020#NguvuYaUmma#SasaBasi pic.twitter.com/FJ9zhyjpIQ
— CHADEMA Tanzania (@ChademaTz) August 4, 2020
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Faru Jioni.. Jua linazama na chama.
ReplyDeleteHakikisha Kufuli lina ufunguo ili tufunge mlango wa saccozi.
NRCC Oyeee. CUF safii