8/16/2020

Mfahamu Mtu Anayeweza Kusoma Kwa Haraka Zaidi Duniani


Anne Jones ana rekodi ya kusoma kwa haraka zaidi Duniani, akiwa na wastani wa kusoma maneno 4,200 kwa dakika ambapo wastani wa kasi ya kawaida kwa Mwanadamu ni maneno 220 hadi 300 kwa dakika

Mwaka 2007, alifanikiwa kumaliza kusoma kitabu cha Harry Potter chenye jumla ya kurasa 784 kwa muda wa dakika 47

Hivyo, Anne aliweza kusoma maneno 4,200 kwa dakika, akiwa na wastani wa kusoma kurasa moja kwa sekunde 3

Kwa kuhakikisha kuwa ameweza kufanya hivyo, aliorodhesha point zote zilizopo kwenye kitabu hicho kwa waandishi wa habari na mwishowe wakaridhia

Pamoja na kuweka rekodi hiyo, Anne alikuwa akishikilia rekodi ya kuwa Mshindi wa Mashindano ya Dunia ya Kusoma Haraka (World Championship Speed Reading Competition) kwa mara 6
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger