8/15/2020

Mtu mmoja amepoteza maisha katika shambulizi la bomu mpakani mwa Uturuki na Syria

 

 Mtu mmoja amepoteza maisha katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa kwenye pikipiki katika wilaya ya Jarabulus mpakani mwa Uturuki na Syria.


Bomu lililipuka juu ya pikipiki  Jarablus, eneo ndani ya Operesheni ya Fırat ya Uturuki nchini Syria.Raia mmoja amepoteza maisha na wengine sita kujeruhiwa.Wakichunguza tukio hilo, vikosi vya usalama vya eneo hilo vinasisitiza uwezekano kwamba shambulizi hilo limefanywa na kundi la kigaidi la YPG / PKK.Kundi hilo la kigaidi mara nyingi hufanya mashambulizi katika maeneo ya Bab, Azaz, Jarablus na Afrin.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger