Sheikh Sharif Maji Amchana Tundu Lissu "Tumia Maneno ya Busara"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtabiri na mtaalamu wa visomo na dua, Sheikh Sharrif Majini amemtaka mgombea Urais Chadema, Tundu Lissu kupunguza ukali wa maneno katika hotuba zake anazozitoa kupitia mikutano yake.

Majini amesema hotuba iliyotolewa Jumatano hii na Tundu Lissu hailiwa na kizalendo na imejaa maneno yakuwagawa Watanzania na kuhatatisha usalama wa nchi.

“Watanzania niwaelewa, wasikivu, pia wanaithamini sana amani waliokuwa nayo na kuitunza. Watashanga sana wakiona kipindi hiki kabla ya kampeni kuanza anatokea mgombea na kusema kwamba akishindwa atawaingiza watu barabarani, tena akishawishi na vyama vingine viingie barabarani “ Alisema Sharrif.

Aliongeza ,
”Tunamsihi atumie maneno ya hekma na busara Watanzania watamuelewa. Aidha kauli kama hizi ni hatari kwa Taifa letu kwa sababu tumeona mataifa mengi yameingia kwenye machafuko kwa kauli kama hizi, matokeo yake amani imechafuka katika mataifa hayo, amani imechafuka katika mataifa hayo na hakuna tena maelewano. Sasa kwa nchi yetu sisi Watanzani tunaomba viongozi wa dini wafanye maombi ya kutosha katika kipindi chote cha kampeni ili wanasiasa waovu wajulikane mapema,”

Majini ameviomba vyombo vya usalama kuchukua hatua stahiki kwa wanasiasa ambao wanahatarisha masuala ya usalama.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad