AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Helkopta iliyombeba Diamond Platnumz ikijiandaa kutua katika Uwanja wa Mkapa leo Agosti 22, 2020.
SIMBA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo Agosti 22, 2020 ametua na Helkopta na kushusha burudani ya kiwango cha juu kwa mashabiki wa Simba SC waliojitokeza.
Diamond ameongozana na msemaji wa Simba Haji Manara na kuibua shangwe la aina yake uwanjani hapo.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK