8/20/2020

Tump Amchana Barack Obama 'Obama Ajafanya Kazi Nzuri USA'


Rais wa Marekani Donald Trump amemjibu Mstaafu Obama baada ya Barack Obama kusema anatamani kumuona Trump akiuchukulia Urais kwa uzito zaidi kuliko hivi sasa ambapo Obama anaamini Trump anauchukulia Urais kama kipindi tu cha TV ambacho anaweza kukitumia kupata umaarufu, Trump amesema Obama hakuutendea haki Urais kwa kuwa hakufanya kazi nzuri.
Trump amepost video hii kwenye Twitter yake akisema >”Obama hakufanya kazi nzuri, na nimekuwa Rais leo kwasababu ya Obama na Joe Biden ambao hawakufanya kazi yao ipasavyo, kama wangefanya kazi nzuri nisingejisumbua kugombea Urais maaana nilikuwa nafurahia maisha kabla ya Urais”

Baadaye Trump akaendelea kusisitiza kuwa ana uhakika atashinda kwa ushindi kwa kishindo huku akiwataka Trump, Bill Clinton , Hillary Clinton, Mke wa Obama na wengine ambao wameonekana kuungana kumshambulia wakutane vitani kwenye Uchaguzi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger