Tundu Lissu "Hafungwi Mtu Hapa Wanawatisha tu...Hata Nikifungwa Hainiondolei Haki ya Kugombea Urais"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Hafungwi mtu hapa wanawatisha tu...nina kesi 6 kisutu na zote ni za uchochezi ..hata nikifungwa hainiondolei haki ya kugombea Urais na hatutafika huko. Hakuna hoja ya kikatiba au kisheria ambayo itaninyang'anya sifa yangu ya kugombea urais. Waulizeni mapolisi wanavyoipata joto ya jiwe wanapoingia kwenye kumi nanane zangu" Tundu Lissu alipokuwa akijinadi kuomba ridhaa kuteuliwa kugombea urais.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad