8/24/2020

Wajawazito ruksa kurudi shuleni ZimbabweRais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ametia saini Sheria mpya ambayo inapiga marufuku wanafunzi wa kike wanaopata mimba kufukuzwa shule kwenye shule za Serikali na badala yake wanatakiwa kuendelea na masomo ikiwa tu afya zao zinawaruhusu.

Kabla ya kupitishwa kwa Sheria hii mpya Zimbabwe, wanafunzi wa kike walikuwa wanafukuzwa shule pindi wanapobeba mimba huku wanafunzi wa kiume ambao waliwapa mimba wakiendelea na masomo.

Sheria hiyo mpya inazuia pia adhabu kali zinazotolewa na walimu kwa wanafunzi wao mashuleni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger