8/07/2020

Watanzania Waliokwama Afrika Kusini Wazidi Kurejea Nchini...


Watanzania kutoka Cape Town wamewasili Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini katika Mji wa Pretoria,kwaajili ya taratibu zingine za safari ili kurejea Tanzania.

Watanzania hao watajiunga na wenzao kutoka sehemu mbali mbali za Afrika ya Kusini kurejea Tanzania kwa ndege ya Precision Air leo saa 7 mchana na kuwasili jijini Dar es Salaam saa 11 jioni.

Safari hii ni ya Bure na imeandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini wakishirikiana na IOM(international Organisation for Migration) Bila kusahau TAC na TACOSA.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger