8/07/2020

‘Nina Uhakakika Hamna Mwanaume Anaweza Kuishi na Esma’ Aliyekuwa Mumewe Esma Asema


Wiki moja baada ya dada yake staa wa bongo Diamond Platnumz Esma kufunga pingu za maisha na mumewe Yayaha Msizwa, aliyekuwa mume wake bado hajaamini kuwa amempoteza kabisa.

Aliyekuwa mume wake amejitokeza na kusema kuwa hamna mwanamume yeyote anayeweza kuishi na Esma kwa ajili ya wivu na kiburi chake.

Kulingana na Petit, Esma hawezi kuwa au kuishi na mume mwingine isipokuwa yeye tu.

“Nina Uhakika kuwa hamna mwanamume mwingine isipokuwa mimi anaweza kuishi na Esma, sidhani kama kuna mtu yeyote anaweza kuvumilia kiburi na wivu wake Esma.”

Wakati wa harusi yake Esma, Diamond aliwaonya wenye wivu na  wakosoaji dhidi ya harusi hiyo na familia ya Esma.

“NAWATAKIA KHERI KWENYE NDOA YENU, NA WALE WA INSTAGRAM WANAOSEMA MTAACHANA, WABAKI WANADHALILIKA WAO SISI TUBAKI TUNACHELEA
NA SIKU NYINGINE TUPATANE SEHEMU KAMA HII KUSHEREHEKEA MIAKA INAVYOENDELEA KUSONGA.
WATU WENGI KWENYE WASAFI TUKO SINGLE KWA HIVYO MSISITE TUJUANE,TUFAHAMIANE.”

Siku hiyo ilikuwa ya kufana kwake Esma kwa maana ilikuwa hafla ya kipekee.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger