Ajali: Watu 22 wajeruhiwa Baada ya Basi la Abairia Kupinduka Leo September 10, 2020 Katika maeneo ya Inyala – Mablock, Kata ya Inyala Mkoani Mbeya katika barabara kuu ya Mbeya – Njombe, gari lenye namba ya usajili T.629 CQC Scania lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza liliacha njia na kupinduka na kusababisha majeruhi na uharibifu wa gari hilo na baadhi ya mali za abiria.

Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali na kusema  “abiria 22 wamepata majeraha sehemu mbalimbali kati yao 12 ni wanaume na 10 ni wanawake ambapo majeruhi 8 kati yao wanaume 5 na wanawake 3 wamepelekwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya na wengine 14 kati yao 07 ni wanaume na 07 ni wanawake wanaendelea kupatiwa matibabu Kituo cha Afya Inyal”. That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments