9/24/2020

Benki Kuu Yataadharisha Kuuza Fedha Bandia.....Kumi Wanaswa


Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewatahadharisha wananchi juu ya ongezeko la fedha bandia, ambapo imesema wasambazaji wanatumia minada ya mifugo na mazao kubadili fedha hizo haramu. Gavana wa BoT amesema watu 10 wamefikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayohusiana na noti bandia. https://t.co/e7nAWJCYks
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger