9/23/2020

Chemical aomba msaada wa kukubaliwa na Wanaume

 


Kupitia kwenye ukurasa wa Instagram ambao anatumia msanii Chemical ameomba ushauri na kutaka msaada kwa sababu anajiona hana bahati kwani kila wanaume anayetaka kuwa naye kwenye mahusiano anamkataa.

 Post hiyo aliyoweka Chemical mwenyewe inaeleza kuwa "Wana wa Insta, Nipo hapa mbele yenu kuomba ushauri serious, nikisema nitajioa sio kwamba napenda, ila  mwenzenu sina bahati jamani, nishatongoza sana ila wanaume msivyo na huruma hamuogopi kunikataa, najua sivutii kihivyoo ila mgenihurumiapo basi, hata wa kuja na kupita tu au kunichezea nitaridhika" 

"Sasa sijui, niendelee kutongoza labda siku moja nitabahatika, ama nisubiri upepo wa kisulisuli au niachane na mapenzi nijioe na nizeeke na kibikra changu msaada wenu tafadhali" ameongeza 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

1 comment:

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger