Jike Shupa ' "Mimi Nina Watoto Watano KILA Mtoto Ana Baba yake"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Video Vixen na mwanamitandao Jike Shupa amesema yeye ni mmoja wa wanawake wenye watoto wengi na kila mtoto ana baba yake, na sababu ya kupata watoto wengi ni kujaza dunia kama ilivyoelezwa.

Jike Shupa amesema mpaka sasa ana watoto watano wote anakaa nao na nawalea mwenyewe ambapo watoto wakiume wapo wawili na wakike wapo watatu ambao wote baba ni tofauti.

Akizungumzia hilo kupitia EATV & EA Radio Digital Jike Shupa amesema "Mimi nina watoto watano sasa hivi na kila mtoto ana baba yake kwa sababu tumeletwa ili kujaza dunia hivyo tunatekeleza, watoto wa kiume wapo wawili na wakike watatu, nawalea na kuwahudumia mimi mwenyewe pia napata ushirikiano kutoka kwa baba zao"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad