KWA Hili Nitawachukia Wanawake Milele...Na Sitowasamehe

Naandika nikiwa na kilio cha jitimai na majonzi yasiyoisha milele.

Mwezi desemba mwaka jana nimefunga ndoa na mke wangu.

Lakini tangu tufunge ndoa nikawa na mashaka na mwenendo wa mke wangu.

Wiki mbili zilizopita nilipata jambo la ajabu. Mke wangu kaniambukiza ugonjwa wa ngono. Nilipomuuliza akadai kuwa hajui amepataje.

Nikimweleza twende hospitali anakataa. Nimeenda nikatibiwa na naendelea na tiba.

Juzi usiku nikiwa nataka kupata ukweli nikaja nyumbani na kumwomba tuongee chumbani. Nikatumia mbinu ya kijeshi nikatoa bastola yangu ambayo hajawahi kuiona hata siku moja na nikaanza kumsaili.

Mke wangu akanitajia orodha ya wanaume aliotembea nao ktk kipindi hichi cha ndoa ya miezi 5 inatisha. Katembea na wanaume sita tofauti.

Nilijikuta napoteza nguvu na fahamu. Nilipozinduka mke wangu kadai tutengane kwani dhambi aliyonitendea haipaswi kumsamehe.

Kila baada ya kama masaa 3 napoteza fahamu. Ndugu zangu hawana taarifa. Lakini ndugu na wazazi wa mwanamke wanajua kinachoendelea.

Ni ngumu kuamini ktk hali ya kawaida lakini najikuta kila akija mwanamke akija kunijulia hali nataka kuzimia tu na napata hasira.

Sitofika kupenda tena na nawachukia wanawake hata mama yangu mzazi aliyenizaa. That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

2 Comments

  1. Nimetambua nguvu kubwa sana iliyo katika kusamehe, jinsi mtu alivyotendewa jambo kubwa la kuumiza, na akaweza kusamehe, huyu mtu ana nguvu ya kuangusha kila ukuta uwekwao mbele yake!! Maana kwamba hufanikiwa katika kila jambo alifanyalo!!

    ReplyDelete
  2. Achana nae atakuua ili uokoe nafasi yako tuliza kichwa ikiwezekana tafuta mwanamke wa kuzaa nae oa ukiwa hata na miaka 45 ili ukae nae kwa ajili ya starehe tu ya mpz na si kuzaa limekua janga LA taifa wanawake kusariti saivi vinginevyo utafkufa na presha hata sisi yametukuta tumeamua tuzalishe tu ili umri usiende huna mtt mengine tutaendaga kujitetea mbele za haki nae amesema niwake nimewapa ila muishi nao kwa akili wapi Samson na Delila Adam na hawa na ndo dunia ilikuwa haijawa nanmapambazuko ya starehe kama sasa sembuse Leo achana nae ikiwezekana nitafute takupa ushauri mzuri zaidi 0767422163

    ReplyDelete