9/21/2020

Wasanii Waliovishwa Kofia na JPM Hadi Sasa, Hawa Hapa…MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na utaratibu wa kuwavisha kofia wasanii wanaotumbuiza kwenye kampeni za chama hicho.


Leo ilikuwa ni zamu ya msanii wa Singeli, Meja Kunta na Snura Mushi ambao wamevishwa katika kampeni zilizofanyika Urambo mkoani Tabora.

Wasanii wengine ambao tayari wamevishwa kofia na rais ni Diamond Platnumz, Harmonize,  Alikiba, Kala Jeremiah, Mrisho Mpoto na Stamina.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger