9/24/2020

Watu 23 Wamefariki Lori la Mafuta Likitekea Kwa Moto (VIDEO)Nchini Nigeria, watu 23 wamefariki Dunia, baada ya gari lilil
obeba tenki la mafuta kuanguka na kuwaka moto katika Jiji la Lukoja Jimbo la Koji.


Rais wa nchi hiyo Muhammadu Buhari amesema watu hao ni pamoja na wanafunzi kadhaa ambao walikuwa katika eneo hilo.


“Tume ya Usalama Barabarani,  imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, nina wasiwasi mkubwa juu ya mzunguko wa majanga haya mabaya ambayo husababisha vifo visivyo vya lazima”


Aliongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni baada ya gari hilo kushindwa kukamata ‘breaki’na kuanguka likiwa katika barabara ya Lukoja kuelekea Abuja.


VIDEO:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger