9/24/2020

Zuchu: Thamani yangu ilipanda baada ya kukutana na Rais Magufuli, Nililia sana akanitunza hela

 


Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka Lebo ya @wcb_wasafi iliyopo chini ya @diamondplatnumz @officialzuchu ameeleza furaha yake ya kukutana na Rais Magufuli na kueleza kuwa Rais Magufuli amemfanya thamani yake ipande.

 

Ameongeza kuwa baada ya kuomba kupiga nae picha hakuamini hadi pale alipompa mkono na yeye alikuwa analia tu Rais akamwambia usile njoo tupige picha na baada ya hapo alimpa pesa.


Mbali na hilo @officialzuchu ameeleza alivyopata wazo la kutunga wimbo wa TANZANIA YA SASA ambao unapongeza juhudi za Rais Magufuli.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger