10/15/2020

Hamisa Mobetto Adhibitisha Diamond Platnumz Kudai Wapime DNA Kwa Mtoto wa Dylan...Majibu ya DNA Haya Hapa

Hamisa Mobetto Adhibitisha Diamond Platnumz Kudai Wapime DNA Kwa Mtoto wa Dylan...Majibu ya DNA Haya Hapa

Msanii wa muziki na Uigizaji hamisa mobetto amethibitisha tetesi za mzazi mwenza wake Diamond Platnumz kuchukua vipimo vya DNA na mwanae DYLAN baada ya maneno kuzidi kusambaa juu ya mtoto kuwa ni wa mwanamuziki Jagwaa

Hamisa Mobetto amezungumza na WasafiFm kuhusiana na tetesi hizo na kusema kuwa ni kweli Diamond alifanya hivyo ili kujihakikishia na majibu yalitoka asilimia 100% mtoto huyo ni wakwake. Hamisa amefunguka “Tulienda hospitali na tukachukuliwa vipimo vinne vinne, wakasema tusubirie wiki mbili au tatu na majibu yakatoka mtoto kwa asilimia zote 100% ni wakwake”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger