BREAKING: NEC yamtangaza Dr Magufuli kuwa mshindi kiti cha urais

advertise here


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa nafasi hiyo baada ya kupata kura 12,516,252 akifuatiwa na Tundu Lissu wa CHADEMA mwenye kura 1,933,271

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

2 [disqus]: BREAKING: NEC yamtangaza Dr Magufuli kuwa mshindi kiti cha urais

 1. Hongera Mwaha...!!!
  Mkulu.. tumekuamini kukupa nchi.
  Kura zetu n Sauti tosha inayodhihirisha
  imani yetu katika kututumikia.

  Inshallah Allah akuhifadhi na Mahasidi
  wa ndani na nje. na Vibaraka wao.

  Leo baada ya Salat Al Maghrib tuna kuombea Dua kwa ALLAH. AKUHIFADHI NA
  KUKUPA AFYA NA HEKMA KWA KIPINDI KIJACHO. NA WASAIDIZI WAKO WOTE.

  HONGERENI WOTE WACHAGULIWA JIPANGENI
  NA MTANGULIZENI MUNGU KATIKA YOTE.

  ReplyDelete
 2. Hongera Rais Magufuli,,,ila nimemis instagram🙄

  ReplyDelete