10/21/2020

Dkt. Magufuli awaomba radhi watu wa mwanga kwa kuchelewesha mradi wa maji
Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt John Magufuli ambaye pia ni Rais anayemaliza muhula wa kwanza amesema hakuzaliwa Rais bali Urais amepewa na wananchi ambao kwa nguvu zao wamefanikisha kukamilika miradi mbalimbali Mkoani #Kilimanjaro


Pia, amewaomba radhi Wananchi wa Mwanga, Same na Korogwe kutokana na kutokamilika kwa mradi wa maji unaohusisha Mwanga-Same-Korogwe ambao ulitakiwa kukamilika mwaka 2017


Dkt. Magufuli ameahidi kusimamia mradi huo yeye mwenyewe kwasababu alikuwa Waziri wa Ujenzi hivyo anajua kuwashughulisha Makandarasi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger