Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Hai: Mbowe Aangushwa Katika Ubunge na Saashisha Mafuwe wa CCMMsimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Hai amemtangaza Saashisha Mafuwe wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge Jimbo hilo kwa kupata kura 89,786

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Freeman Mbowe (CHADEMA) amepata kura 27,684 katika nafasi ya 2. Mbaruku Mhina (ACT) mwenye kura 315 ameshika nafasi ya 3.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments