Jerry Silaa ashinda ubunge Jimbo la Ukonga

Jimbo la Ukonga, ameshinda Jerry Silaa, wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa ndiye mbunge wa jimbo hilo baada ya kupata kura 120,936 na kumshinda Asia Msangi wa Chadema aliyepata kura 21,634.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE