Mwimbaji Matonya Awafungukia Wanaomchukia Diamond Platnumz

advertise here


Star Mkongwe Wa Bongofleva Matonya Ametoa Yake Ya Moyoni Kwenda Kwa Star Wa Muziki Africa DiamondPlatnumz.


Kubwa Zaidi Amesema DiamondPlatnumz Sio Mtu Wa Kumchukia Amefanya Mengi Sana Makubwa Ndani na Nje Ya Tanzania.


Hakuna Haja Ya Kumchukia, Dogo Anafanya Nini, Anacho Fanya Anapeperusha Bendela Ya Tanzania.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE