10/18/2020

Rais Magufuli Amkabidhi Nyumba Rais Mstaafu MwinyiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 18, 2020 amemkabidhi Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi Nyumba maalumu iliyojengwa na serekali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya marais Mara wanapo Staafu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020

Rais  Magufuli akiwa katika Picha ya Pamoja wakionesha alama ya kufurahi na Mhe Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na Mama.Sitti Mwinyi. Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam , Mhe. Aboubakar Kunenge , na Brigedia jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa SUMA JKT , Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger