Ethiopia: Wanajeshi wameanza kushambulia mji wa Mekelle - TPLF
Viongozi wa serikali ya jimbo la Tigray la Kaskazini mwa Ethiopia, wamenukuliwa wakisema kwama vikosi vya serikali kuu, inayoongozwa na Waziri mkuu Abiy Ahmed, Jumamosi vilianza mashambulizi ya kutaka kuuteka na kuudhibiti mji mkuu wa jimbo hilo Mekelle.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments