11/01/2020

Machinga waungana kupinga maandamano ya CHADEMA, ACT WazalendoMachinga wa jijini Dar es Salaam wameungana na kutoa tamko la kupinga maandamano yaliyotangazwa na viongozi wa Chadema na ACT Wazalendo.


Wamachinga hao wamempongeza Rais Magufuli kwa ushindi katika uchaguzi mkuu na kusema watakuwa naye bega kwa bega kwani ni muokozi wa wanyonge.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

2 comments:

 1. Hii ndiyo Tanzania na ndivyo tulivyo.
  Ustaarabu wetu na Upendo wetu ndiyo
  nguzo na Imani yetu.

  Huyu mhamiaji haramu arudishwe kwao baada ya kutumikia Adhabu kufuata makosa kama ilivyo ainishwa katika Sheria za Uhamiaji.

  Na Faru joni ashughulikiwe kama mchafuzi yeyote wa Amani na genge la
  telolisti wenzake wanao subiri kukamilishiwa upelelezi. atiwe nguvuni usiku huu na asylum seeker pia ajipange kwa ahirisho alilopataa kiswutu aendelee kupambana na hali yake bila dhamana tokana n hali halisi

  na uuwezo mkubwa wa kutoroka kwa njia za panya. mkakati huo anao na kumwaga
  manyanga kwa Faru Jiooni na salumwalim

  Ngoma walio nuiza kucheza, wataicheza wenyewe.

  Hakuna Maandamano ajili ya RUZUKU yake

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau, umewapa kitu na Boxi.
   Huyu mwenye chamaa mfuko katika
   flash yya 32 GB hajielewi.

   Na Huyu wa Ufipa alizowe Ulafi wa Kula Ruzuku . Kodi ya Jengo bado hajalipa. mwenye mjengo amekuwa mbogo kwao na Luku pia.

   Saccozi iko hatarini.

   Hongera Machinga kumtolea nje.

   Delete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger