Ni muda wa Afrika, Mchekeshaji Trevor Noah Toka Nchini Afrika Kusini Alamba Shavu Tuzo za Grammy


Ni muda wa Afrika, Mchekeshaji Trevor Noah toka nchini Afrika Kusini ametajwa kuwa mshereheshaji (Host) kwenye tuzo za Grammy.

Trevor Noah ambaye anaendesha kipindi maarufu cha 'The Daily Show' alitangazwa na Recording Academy usiku wa kuamkia leo wakati pia vipengele 83 vya tuzo hizo vikianikwa wazi. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Noah kupata nafasi hiyo adhimu, tuzo za Grammy zitafanyika Januari 31, 2021.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments