Rais Maguufi Amteua Mwakyembe, Dkt. SheinRais Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Barnabas Samatta ambaye amemaliza muda wake.

 

Aidha, Rais Magufuli amemteua Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) akichukua nafasi ya Mariam Joy Mwaffisi ambaye amemaliza muda wake 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments