Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Shetta Afunguka Ugomvi Wake na Diamond Platnumz...Sallam SK Ahusishwa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 “Sikuwahi kuwa na tatizo kabisa na @diamondplatnumz kama watu walivyokua wakiongea na kutengeneza story juu yetu, nilitengenezewa mipaka ya kibiashara na uongozi wake wa @wcb_wasafi na hivyo ukaribu wetu ukapungua kuanzia hapo” - @officialshetta


Kupitia kipindi cha The Switch @officialshetta ameweka wazi kuhusu tetesi na maneno yaliyokua yakiongelewa sana kuwa wana Bifu zito na @diamondplatnumz na Kusema kuwa kipindi alitaka kutoboa kimataifa @sallam_sk aliweka makubaliano ya kibiashara na yakamfanya kupunguza Ukaribu na DIAMOND, na haikua kwa ubaya ila ilimjenga na Kumfanya SHETTA wa leo


Shetta Ameongeza pia kuwa alimtafuta Diamond kama mtu wake wa karibu ili amsaidie kupush project yake ya Namjua ndipo uongozi wa Diamond ukasema nguvu anayotaka Shetta iwe kibiashara ikiwa ni kupostiwa na Diamond na kufanyiwa connection za Media Tour nchini Nigeria

Post a Comment

0 Comments