11/19/2020

Zuchu wa WCB Alamba Mamilioni ya Pesa Baada ya Kupata Ubalozi Mpya


 Ikiwa ni siku chache tu tangu atangazwe kuwa Balozi wa vipodozi wa tridea, mrembo kutoka WCB @officialzuchu mapema leo amelamba dili la kuwa balozi wa Rasta aina ya Darling Hair.

Ikiwa ni miezi Saba tu! tangu atambulishwe kwenye soko la muziki msanii huyo ameanza kupata shows kubwa mbalimbali, kuandaa event zake, kuzindua EP yake, kuwa balozi, kupata Tuzo na pia kufanya kolabo na wasanii wa kubwa nje na Ndani ya Bongo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger