11/19/2020

Wagombea wa urais Uganda wasitisha kampeni hadi Bobi Wine aachiliwe huruWagombea wakuu wa urais kupitia vyama vya upinzani nchini Uganda wametangaza kusitisha kampeni zao hadi pale mgombea mwenzao Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine atakapoachiliwa na polisi.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger