Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wimbo wa "In Da Club" wa 50 Cent wafikisha jumla VIEWS Bilioni 1 kwenye mtandao wa YouTube

 


50 Cent gon' party like it's his birthday, kwa sababu video yake "In Da Club" imefikisha jumla VIEWS Bilioni 1 kwenye mtandao wa YouTube na kuweka rekodi ya kuwa video ya kwanza ya rapa huyo kufikisha idadi hiyo.


Kutoka kwenye album yake ya kwanza 'Get Rich Or Die Tryin' ya mwaka 2003, mikono ya Eminem na Dre ilimuwezesha 50 Cent kutambulika rasmi kwenye muziki. Video hiyo ilipandishwa YouTube June 17, 2009.


Hivi karibuni YouTube Music pamoja na Universal Music Group walifikia makubaliano ya kuzifanyia maboresho video zote za zamani kwa kuziongezea ubora (Quality) wa hali ya juu hadi kiwango cha 4K. In Da Club inakuwa video ya pili kufikia Views 1B toka kwenye kizazi cha video zilizopitia maboresho, baada ya "Without Me" ya Eminem.

Itazame Hapa:


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments