Balaa la Njaa....Watu Milioni 1.5 Wanakula Mchanga Uliochanganywa na Ukwaju

 


Shirika la Chakula Duniani (WFP) limesema Watu milioni 1.5 Kusini mwa #Madagascar wanahitaji msaada wa dharura wa chakula


Hali hiyo imetokana na kipindi cha kiangazi ambacho kimeathiri Mazao yanayotegemewa nchini humo kiasi cha Watu kula mchanga uliochanganywa na Ukwaju


Wananchi wamesema hawatafuti tena chakula bali wanatafuta mbinu ya kupata chochote cha kushikilia tumbo


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments