Breaking News: Membe aomba msamaha CCM, atangaza kuondoka ACT Wazalendo januari 2021

  


 Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo na na Mshauri Mkuu wa Chama hicho, Bernard Membe amethibitisha kuwa ni kweli ana panga kujiondoa ACT na amesisitiza kuwa atajiondoa rasmi ACT January Mosi, 2021, Waziri huyo wa zamani wa Mambo ya Nje alijiunga na ACT baada ya kufukuzwa uanachama CCM.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments