AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Fabolous anasema kuwa rapa ni kazi yenye hatari zaidi nchini Marekani. Kupitia ukurasa wake wa instagram, Fabolous aliandika hayo akihusisha na matukio ya wasanii wa Hip Hop kuuawa kila uchwao nchini humo.
"Kuwa msanii wa Hip Hop imekuwa kazi ya hatari zaidi nchini Marekani." alisema Fab.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK